Nenda kwa yaliyomo

YouthTech (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Website ya YouthTech

YouthTech Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali lililoko Arusha, Tanzania, linalolenga kuongeza ufahamu na ujuzi wa teknolojia kwa vijana, hasa wanawake na wasichana. Shirika hili linafanya kazi kutoa mafunzo katika maeneo mbalimabli kama elimu ya ICT, usalama mtandaoni (cybersecurity), maendeleo ya programu za simu, na matumizi ya akili bandia (AI).[1]

Sekta za Kazi

[hariri | hariri chanzo]

YouthTech inaendesha miradi katika maeneo muhimu yafuatayo:​

  • Kuendeleza elimu ya ICT kwa vijana na jamii kwa ujumla.
  • Kuhamasisha mafunzo ya usalama ya mtandaoni.
  • Kukuza ufahamu na ushiriki katika shughuli za Akili mnemba ndani ya jamii.

Matokeo na Athari

[hariri | hariri chanzo]

Shirika limefikia vijana mbalimbali kupitia warsha, semina, na mafundisho yanayolenga kukuza teknolojia, ubunifu na uelewa juu ya njia za kutumia AI kutatua changamoto za kijamii kama afya, elimu na kilimo.

  1. "YouthTech Tanzania". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-08-03. Iliwekwa mnamo 2025-08-03.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu YouthTech (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.