Youssouf Sabaly
Youssouf Sabaly (aliyezaliwa tarehe 5 Machi, 1993) ni mchezaji wa kulipwa wa soka anayekipiga kama beki wa kulia kwa klabu ya Qatar Stars League ya Al-Duhail. Alizaliwa Ufaransa, lakini anawakilisha timu ya taifa Senegal katika ngazi ya kimataifa.
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Sabaly alicheza mechi yake ya kwanza katika Ligue 1 akiwa na Thonon Évian F.C. katika mchezo wa ufunguzi wa msimu wa 2013–14 dhidi ya FC Sochaux-Montbéliard, akicheza dakika zote za mchezo, ambao ulimalizika kwa sare ya 1–1.[1]
Mnamo Agosti 2016, alikubaliana na nyongeza ya mkataba hadi mwaka 2020, kabla ya kujiunga na FC Girondins de Bordeaux kwa mkopo wa msimu mzima.[2]
Tarehe 7 Juni, 2021, Sabaly alisaini na klabu ya La Liga ya Real Betis kwa uhamisho wa bure, kuanza rasmi tarehe 1 Julai.
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Sabaly alizaliwa Ufaransa kutoka kwa wazazi wa Senegal.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "La fiche de Youssouf Sabalay" (kwa Kifaransa). Ligue de Football Professionel. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Youssouf Sabaly, new Real Betis player". en.realbetisbalompie.es/. 7 Juni 2021. Iliwekwa mnamo 8 Juni 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Former French juniors Niang & Sabaly called up by Senegal – 2018 FIFA World Cup Qualifiers – Africa – Senegal". African Football. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Youssouf Sabaly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |