Youssouf Mulumbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Youssouf Mulumbu

Youssouf Mulumbu (alizaliwa 25 Januari 1987) ni mchezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Celtic na timu ya taifa ya Kongo.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 31 Agosti 2018, Mulumbu alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Celtic alikopwa na klau ya Kilmarnock mnamo tarehe 31 Januari 2019, hadi mwisho wa msimu wa 2018-19,Alicheza mara 12 katika msimu wake wa pili na klabu ya Ayrshire.

Mnamo Juni 2019, Mulumbu aliondoka katika klabu ya Celtic baada ya klabu hiyo kuvunja mkataba wake. Mulumbu alicheza mechi tatu katika klabu ya Glasgow.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youssouf Mulumbu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.