Nenda kwa yaliyomo

Youssef En-Nesyri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Youssef En-Nesyri (kwa Kiarabu: يُوسُف النَّصِيرِيّ; alizaliwa 1 Juni 1997) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Moroko anayekipiga kama mshambuliaji katika klabu ya Fenerbahçe S.K. ya Süper Lig na pia anawakilisha timu ya taifa ya Moroko.[1][2]

  1. "2018 FIFA World Cup Russia – List of Players" (PDF). FIFA.com. Fédération Internationale de Football Association. 4 Juni 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 10 Juni 2018. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Youssef En-Nesyri". Sevilla FC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Aprili 2022. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youssef En-Nesyri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.