Young Africans S.C

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Young Africans SC)
Young Africans S.C
Jina la utaniYanga (Swahili)
Imeanzishwa11Feb 1935
UwanjaBenjamin Mkapa National Stadium
(Uwezo: 62,000)
MwenyekitiMshindo Msola
MenejaSenzo Mazingiza
KochaNasreddine Nabi
LigiTanzania Premier League, Vodacom Premier League
Tovutitovuti ya klabu

Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani ''Timu ya Wananchi au Wanajangwani''.

Imepata kuwa mabingwa mara 29 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[1]

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[2]

Wachezaji

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Mali GK Djigui Diarra
28 Tanzania GK Abdutwalib Mshery
24 Tanzania GK Erick Johola
3 Tanzania DF Bakari Nondo Mwamnyeto
5 Tanzania DF Dickson Job
13 Tanzania DF David Bryson
21 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DF Djuma Shabani
23 Tanzania DF Abdullah Shaibu Ninja
4 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DF Yanick Bangala Litombo
15 Tanzania DF Kibwana Shomari
18 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Abubakar Salum
20 Tanzania MF Zawadi Mauya
10 Burkina Faso MF Stephane Aziz Ki
33 Tanzania MF Dickson Ambundo
27 Tanzania MF Mudathir Yahaya
8 Burundi FW Khalid Aucho
12 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW Jesus Ducapel Moloko
6 Tanzania MF Feisal Salum
17 Tanzania MF Farid Mussa
25 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Chiko Ushindi
9 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW Fiston Mayele
16 Tanzania FW Denis Nkane
30 Tanzania DF Chrispin Ngushi

Wachezaji wa kigeni

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:

Tanbihi

  1. Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore. www.sofascore.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  2. Young Africans News | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.

Nembo

Nembo ya Zamani

Viungo vya nje