Nenda kwa yaliyomo

You Can't See Me

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
You Can't See Me
You Can't See Me Cover
albamu ya John Cena & Tha Trademarc
Imetolewa 10 Mei 2005 (US)
30 Mei 2005 (U.K.)
Lebo 65:27
Single za kutoka katika albamu ya You Can't See Me
  1. "The Time Is Now"
  2. "Bad Bad Man (ikishirikisha Bumpy Knuckles)"
  3. "Right Now"
noicon
file info · help


You Can't See Me ni albamu ya kwanza ya mpiganaji miereka wa WWE John Cena na binamu yake Tha Trademarc. Wimbo huu ulitolewa mnamo 2005 na ulianza katika nafasi ya 15 katika tamasha za Billboard na #3 katika orodha ya Rap.[1]. Nchini UK, albamu hii ilianza katika nafasi ya 103 katika tamasha za UK Album Charts ya albamu mia nbili za kwanza. ]].[2]. albamu hii iliendelea kuimarika hadi kufikia kiwango cha ‘’Gold’’ kulingana na RIAA.

Inashirikisha uonekanaji maalumu wa rapper kutoka Boston Esoteric katika ngoma moja na Bumpy Knuckles]] katika ngoma zaidi ya moja. Lebo ya nje inatokana na Taji la WWE lililopambwa upya na John Cena, huku jina la albamu likitokana na msemo wake maarufu ‘’You Can’t See Me’’.

Vibao Kaika Albamu

[hariri | hariri chanzo]
  1. "The Time is Now" - 2:58
  2. "Don't Fuck with Us" - 3:24
  3. "Flow Easy" (akimshirikisha Bumpy Knuckles) - 3:47
  4. "Right Now" - 3:47
  5. "Make It Loud" - 4:20
  6. "Just Another Day" - 3:58
  7. "Summer Flings" - 3:35
  8. "Keep Frontin'" (akimshirikisha Bumpy Knuckles) - 4:13
  9. "We Didn't Want You to Know" - 4:16
  10. "Bad, Bad Man" (Kimshirikisha Bumpy Knuckles) - 3:31
  11. "Running Game" - 3:52
  12. "Beantown" (akimshirikisha Esoteric) - 3:47
  13. "This Is How We Roll" - 4:09
  14. "What Now" - 4:30
  15. "Know the Rep" (Akimshirikisha Bumpy Knuckles) - 2:59
  16. "Chain Gang Is the Click" - 3:52
  17. "If It All Ended Tomorrow" - 4:30
  18. "The Underground" (Ngoma ya ziada juu ya nakala zilizochaguliwa Kimataifa)
  19. "Basic Thuganomics" (Ngoma ya ziada juu ya nakala zilizochaguliwa Kimataifa)
  20. "Untouchables" (Ngoma ya ziada juu ya nakala zilizochaguliwa Kimataifa)

Vidokezo

[hariri | hariri chanzo]
  • Albamu hii ilipewa vichwa mbalimbali zikiwemo Underground", "Basic Thuganomics" na zingine kabla ya kutolewa kama "You Can't See Me".
  • Wimbo wa kwanza wa albamu hii "The Time is Now", unatumiwa na John Cena kama muziki wake wa kiingilio katika kazi ya miereka katika WWE.
  • "The Time Is Now" inashirikisha vijisampuli vya muziki kutoka "Ante Up" ya M.O.P. na "The Night the Lights Went Out in Georgia" ya Bobby Russell.[3]
  • Cena alinukuliwa akisema katika WWE.com kuwa muziki wake wa kiingilio katika WWE, "Basic Thuganomics", ungeshirikishwa katika albamu.[4]. Hata hivyo ngoma hiyo haikuweza kuingia katika albamu, ingawa ulitolewa baadaye katika albamu ya soundtrack ya WWE Originals mnamo Januari 2004.
  • "If it All Ended Tomorrow" ilitumiwa katika sehemu ya kumalizia ya Shukrani katika filamu ya John Cena The Marine.
  • Ngoma ya Ziada ya "The Underground", iliwekwa katika kurasa wa Tha Trademarc wa Myspace.
  • "Bad, Bad Man" ilitumiwa na kiishio katika mchezo wa FX wa drama The Shield ambao ulikuwa ukilenga mhusika mkuu Jon Kavanaugh na katika kiishio cha mchezo wa Seth rogen uitwao Observe and Report.
  • Mnamo 14 Oktoba 2008, M.O.P iliwasilisha kesi dhidi ya WWE na John Cena kwa madai kuwa waliiba sehemu za wimbo wake "Ante Up" na kuzitumia katika wimbo wa The Time is Now". M.O.P anataka wimbo huo uharibiwe na alipwe fidia ya $150,000 kwa uharibifu aliofanyiwa. .[5].

Virejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "John Cena - Artist Chart History". Billboard.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-20. Iliwekwa mnamo 2007-05-19.
  2. "Chart Log UK - 2005". Iliwekwa mnamo 2007-09-06.
  3. Yuke's. WWE SmackDown vs. Raw 2008. (THQ). (2007) Ending credits.
  4. "Cena talks about his new belt, new album, and his first week as WWE Champion". WWE.com. Iliwekwa mnamo 2007-05-17. the album also has my original theme music, "Basic Thuganomics."
  5. "The Royalty Network vs. Sony BMG et al" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-09-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.