You Belong to Me

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

You Belong to Me: Sex, Race and Murder in the South ni filamu ya Kimarekani ya mwaka 2014 iliyotayarishwa na Hilary Saltzman, Kitty Potapow, na Jude Hagin na kuongozwa na John Cork.[1]

Filamu ilifanya kazi ya kueleza ukweli uliofichwa kuhusu kesi ya Ruby McCollum ya mwaka 1952. McCollum, tajiri wa kike Mmarekani mwenye asili ya Afrika katika nchi ya Suwannee, Florida,alimpiga risasi daktari Mzungu na mwanasiasa Clifford Leroy Adams mara nne kwa bastola yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Silenced the Story of Ruby McCollum (en-US). Ocala Style Magazine (2015-01-28). Iliwekwa mnamo 2022-04-19.