Nenda kwa yaliyomo

Yoshio Nishina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yoshio Nishina (仁科 芳雄; *Nishina Yoshio*; 6 Desemba 1890 – 10 Januari 1951) alikuwa Mjapani mwanafizikia ambaye alijulikana kama “baba mwanzilishi wa utafiti wa fizikia ya kisasa nchini Japani”. Pia aliongoza juhudi za Japani katika kuendeleza mpango wa silaha za nyuklia wa Japani wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.[1]

  1. ["Yoshio) Nishina". Atomic Heritage Foundation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-12-03. {{cite news}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yoshio Nishina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.