Yosefu Maria wa Yermo
Mandhari
Yosefu Maria wa Yermo (Jalmolonga, Malinalco, Meksiko, 10 Novemba 1851 - Puebla, Meksiko, 20 Septemba 1904) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha shirika la masista Watumishi wa Moyo Mtakatifu wa Yesu na wa Fukara (1885) ili kusaidia wahitaji upande wa roho na wa mwili [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 6 Mei 1990, halafu mtakatifu tarehe 21 Mei 2000.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |