Yosefu Gregori Hernandez
Mandhari

Yosefu Gregori Hernandez (Isnotu, Trujillo, 26 Oktoba 1864 - Caracas, 29 Juni 1919) alikuwa daktari nchini Venezuela aliyepata umaarufu kwa maisha yake ya imani kama Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko na kwa upendo wake kwa watu fukara[1].
Papa Fransisko alimtangaza mwenye heri tarehe 30 Aprili 2021, halafu Papa Leo XIV alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Oktoba 2025 pamoja na raia mwenzake Karmen Elena Rendiles, wakiwa wa kwanza kutoka nchi ya Venezuela [2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kuzaliwa kwake.
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]- 1893 - Sobre el número de glóbulos rojos. Gaceta Médica de Caracas.
- 1894 - Sobre angina de pecho de naturaleza paludosa. Gaceta Médica de Caracas.
- 1910 - Lecciones de bacteriología. Gaceta Médica de Caracas.
- 1910 - Lesiones anatomo–patológicas de la pulmonía simple o crupal. Gaceta Médica de Caracas.
- 1910 - De la nefritis a la fiebre amarilla. Gaceta Médica de Caracas.
- 1913 - Renuncia ante la Academia Nacional de Medicina. Gaceta Médica de Caracas.
- 1918 - Nota preliminar acerca del tratamiento de la tuberculosis por el aceite de Chaulmoogra. Gaceta Médica de Caracas.
- 1922 - Elementos de bacteriología. 2.ª edición: Caracas. El Cojo.
- 1959 - Elementos de filosofía. 3.ª edición: Caracas. Bibliográfica Venezolana.
- 1968 - Obras completas. Caracas. Universidad Central de Venezuela.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fernández Juárez, Gerardo (2004). Salud e interculturalidad en América Latina: perspectivas antropológicas. Editorial Abya Yala. ISBN 9978-22-463-7 (Kihispania)
- ↑ "Pope Leo XIV canonizes 7 new saints, including first from Venezuela and Papua New Guinea". Catholic News Agency. 2025-10-19. Iliwekwa mnamo 2025-10-19.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |