Yohanes Ghebregergis
Mandhari
Yohanes Ghebregergis (alizaliwa 1 Januari 1989) ni mkimbiaji wa mbio ndefu kutoka Eritrea.[1] Alishiriki katika mbio za marathoni za wanaume katika Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 2017, akishika nafasi ya 7 akitumia masaa 2:12:07.[2] Alishiriki katika Olimpiki ya Majira ya joto 2020 katika mbio za marathon za wanaume.[3]
Alimaliza katika nafasi ya 7 katika mbio za wanaume za Tokyo Marathon za 2017.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Yohanes GHEBREGERGIS | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
- ↑ "IAAF". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-03. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
- ↑ "Yohanes GHEBREGERGIS". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.
- ↑ lite men results.