Nenda kwa yaliyomo

Yohane wa Puebla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane wa Puebla (1453 - 1495) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo nchini Hispania ambaye alifanya juhudi za kuleta urekebisho kwa kuanzisha makao ya upwekeni hata akakubaliwa na Papa Inosenti VIII mwaka 1487 kuunda kanda yenye sheria za pekee.

Juhudi hizo ziliandaa matawi mapya ya shirika: Waguadalupe, Wapaskwali na Waalkantara.

    • Guerrino Pelliccia e Giancarlo Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), 10 voll., Edizioni paoline, Milano 1974-2003. (Kiitalia)

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]
    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.