Nenda kwa yaliyomo

Yohane Mnyamavu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Yohane wa Kimya)
Mchoro mdogo wa Mt. Yohane.

Yohane Mnyamavu (Nikopoli, Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, 454 hivi - 558 hivi[1]) bado kijana alianzisha monasteri akafanywa askofu wa Taxara, lakini baada ya miaka tisa aling'atuka na kuhamia nchini Palestina alipoishi miaka mingi katika monasteri ya Mar Saba akihudumia kwa unyenyekevu wanajumuia akishika kwa ukamilifu upweke na kimya [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Desemba [3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. The Lives of Saints. London: Thomas Meighan. 1729. ku. 303–307.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/80740
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 165-166

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.