Yohane wa Guadalupe
Mandhari
Yohane wa Guadalupe (karne ya 15 - 1506) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo nchini Hispania ambaye alifuata juhudi za kuleta urekebisho za Yohane wa Puebla (1453 - 1495) akafaulu kupata kibali cha Papa Aleksanda VI tarehe 25 Septemba 1496.
Baadaye tawi alilolianzisha, na ambalo kwa heshima yake liliiitwa la Waguadalupe, likaja kuongozwa na Yohane Pascual (karne ya 15 - 1553) likaitwa la Wapaskwali, na hatimaye na Petro wa Alkantara (1499 - 1562) likaitwa pia la Waalkantara au Ndugu Wadogo Pekupeku.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Guerrino Pelliccia e Giancarlo Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), 10 voll., Edizioni paoline, Milano 1974-2003. (Kiitalia)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Los franciscanos en la Castilla del siglo XV (Kihispania)
- Historia de las familias franciscanas: origen y desarrollo del movimiento franciscano (Kihispania)
- History of the Franciscan movement (Kiingereza)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |