Nenda kwa yaliyomo

Yohane Pascual

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane Pascual (karne ya 15 - 1553) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo nchini Hispania ambaye alifuata juhudi za kuleta urekebisho za Yohane wa Puebla (1453-1495) na Yohane wa Guadalupe (karne ya 15-1506).

Kisha kuhamia kwa Wakonventuali (1517) ili kuanzisha makao ya upwekeni isiyostawi sana, hatimaye akafaulu mwaka 1541 kupata kibali cha Papa Paulo III cha kupokea watawa wa mashirika mbalimbali katika kundi lake la Wakonventuali Wareformati (ambalo kwa heshima yake liliiitwa la Wapaskwali).

Baadaye tawi alilolianzisha likaja kuongozwa na Petro wa Alkantara (1499-1562) likaitwa pia la Waalkantara au Ndugu Wadogo Pekupeku.

    • Guerrino Pelliccia e Giancarlo Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), 10 voll., Edizioni paoline, Milano 1974-2003. (Kiitalia)

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]
    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.