Nenda kwa yaliyomo

Yiagadeesen Samy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yiagadeesen (Teddy) Samy, ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Mauritius ambako alisoma chuo cha Royal College Curepipe, pia ni Profesa kamili wa Masuala ya Kimataifa na Mkurugenzi katika Shule ya Norman Paterson ya Masuala ya Kimataifakatika Chuo Kikuu cha Carleton, mjini Ottawa, Canada. [1]

  1. "Yiagadeesen (Teddy) Samy". Norman Paterson School of International Affairs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Septemba 2025. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yiagadeesen Samy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.