Nenda kwa yaliyomo

Yellow Banana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yellow Banana ni filamu ya mwaka 2008 kutoka Tanzania iliyoongozwa na Vincent Kigosi ikiwa imebeba jumbe za maisha katika taswira ya picha ikieleza maisha ni kama ndizi iliyoiva, rangi yake huvutia sana, usipoila kwa wakati wake, hutaila tena kwa kuwa itakuwa imeoza. Na hata rangi yake haitavutia tena…. maisha yangu hayana furaha kwa kuwa sikuyatumia vizuri kwa wakati wake.[1]

Filamu hii iliongozwa na Vincent Kigosi na kuandikwa kwa pamoja na Vincent Kigosi na Ally Yakuti .

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Yellow Banana — Bongo Movie | Tanzania". www.bongocinema.com. Iliwekwa mnamo 2025-08-24.
  2. Kigosi, Vincent, Yellow Banana, Omary Abdallah, Jaji Ally, Blandina Chagula, Game 1st Quality, iliwekwa mnamo 2025-08-24
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yellow Banana kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.