Yehoahazi wa Yuda
Mandhari

Yehoahazi wa Yuda (kwa Kiebrania יְהוֹאָחָז, Yəhō’aḥaz; kwa Kigiriki: Ιωαχαζ, Iōakhaz; kwa Kilatini: Joachaz; jina la awali: Shallum; alizaliwa 633 KK hivi[1]) alikuwa mfalme wa 17 wa Yuda kwa miezi mitatu tu (mwaka 609 KK[2]) baada ya baba yake, Yosia[3][4].
Aliondolewa madarakani na Farao wa Misri Neko II na kupelekwa uhamishoni huko (2Fal 23:31,34)[5] hadi kifo chake, kama alivyotabiri nabii Yeremia (Yer 22:10).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Isaac Kalmi (1 Februari 1997). M. Patrick Graham; Kenneth G. Hoglund; Steven L. McKenzie (whr.). "Was the Chronicler a Historian?", The Chronicler as Historian. Bloomsbury Publishing. ku. 68–. ISBN 978-0-567-32754-3.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Edwin Thiele, The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings, (1st ed.; New York: Macmillan, 1951; 2d ed.; Grand Rapids: Eerdmans, 1965; 3rd ed.; Grand Rapids: Zondervan/Kregel, 1983). ISBN 0-8254-3825-X, 9780825438257, 217.
- ↑ 1Nya 3:15; Yer 22:11
- ↑ Kautzsch, E. "Jehoahaz", The New Scaff-Herzog Encyclopedia of Religious Knowledge, Vol.IV, Samuel Macauley Jackson (ed.), Baker Book House, Grand Rapids, Michigan (1953)
- ↑ Philip J. King, Jeremiah: An Archaeological Companion (Westminster John Knox Press, 1993), page 20.
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yehoahazi wa Yuda kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |