Nenda kwa yaliyomo

Yasuhiro Nakasone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yasuhiro Nakasone ( 27 Mei 1918 – 29 Novemba 2019) alikuwa mwanasiasa wa Japani aliyehudumu kama Waziri Mkuu wa Japani kuanzia mwaka 1982 hadi 1987. Kipindi chake cha uongozi kilijulikana zaidi kwa kusukuma mbele sera ya ubinafsishaji wa mashirika yaliyokuwa yanamilikiwa na serikali, kufuata sera ya mambo ya nje yenye msimamo mkali na ya kuiunga mkono Marekani, pamoja na kupinga Ukeynesi na kuunga mkono Uliberali mamboleo.[1]

  1. Kasuya Nobuji (Machi 1990). [(https://core.ac.uk/download/pdf/223189134.pdf) "On the Characteristics of Neoconservativism in Japan"]. core.ac.uk. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasuhiro Nakasone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.