Nenda kwa yaliyomo

Jacques de Vitry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Yakobo wa Vitry)
Hati ya Mahubiri Vulgares, karne ya 13, na Jacques de Vitry
Muhuri wa Jacques de Vitry kama askofu wa Akri.

Jacques de Vitry (Jacobus de Vitriaco, takriban 1160/70 – 1 Mei 1240) alikuwa kiongozi wa kanisa wa Ufaransa, ambaye alijulikana kama mwanateolojia na mwanahistoria katika kipindi chake.

Alichaguliwa kuwa askofu wa Akko mnamo mwaka 1214 akafanywa kuwa kardinali mwaka 1229.

Kitabu chake Historia Orientalis (pia kinajulikana kama Historia Hierosolymitana) ni chanzo muhimu katika uandishi wa historia ya Misafara ya Msalaba.[1][2]

Alifahamu Wahumiliati na Fransisko wa Asizi akasifu maisha yao.

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
Historigrafia
  • Orientalis et occidentalis Historia. ed. F. Moschi, ex officina typographica Balthazaris Belleri, Douai, 1596, (archive.org, online facsimile).
  • Historia Hierosolimitana. ed. Jacques Bongars, in: Gesta Dei Per Francos, Sive Orientalium Expeditionum, Et Regni Francorum Hierosolimitani Historia. 1611, (online facsimile).
  • John Frederick Hinnebusch (ed.): The Historia occidentalis of Jacques de Vitry. A Critical Edition (= Spicilegium Friburgense. Texte zur Geschichte des kirchlichen Lebens. vol. 17, ISSN 0561-6158). The University Press, Fribourg 1972.
  • Jacques de Vitry. Historia Orientalis, ed. Jean Donnadieu, 2008.

Translations:

Hotuba
  • Sermones de tempore. Kreuzherrenkonvent, Düsseldorf 1486, (Kigezo:ULBDD)
  • Sermones de Tempore. In aedibus viduae & haeredum Ioannis Steelsij, Antwerpen 1575.
  • Iacobus de Vitriaco. Sermones vulgares vel ad status I, éd. J. Longère (Corpus Christianorum. Continuatio Mediaevalis 255), Turnhout: Brepols Publishers, 2013 (ISBN 978-2-503-54532-5)
  • Sermones vulgares. In: Analecta Novissima Spicilegii solesmensis. Disseruit Joannes Baptista Pitra. Band 2. Typis Tusculanis, Paris 1888, (excerpts).
  • The Exempla or Illustrative Stories from the Sermones Vulgares of Jacques de Vitry (= Publications of the Folk-Lore Society. 26, Kigezo:ZDB). Edited with introduction, analysis, and notes by Thomas Frederick Crane. Nutt, London 1890, (archive.org).
  • Joseph Greven (ed.): Die Exempla aus den Sermones feriales et communes des Jakob von Vitry (= Sammlungen mittellateinischer Texte. 9, Kigezo:ZDB). Winter, Heidelberg 1914, (archive.org).
  • Goswin Frenken, Die Exempla des Jacob von Vitry. Ein Beitrag zur Geschichte der Erzählungsliteratur des Mittelalters (= Quellen und Untersuchungen zur lateinischen Philologie des Mittelalters. vol. 5.1, Kigezo:ZDB). Beck, München 1914.
Barua
  • Reinhold Röhricht (ed.): Briefe. In: Zeitschrift für Kirchengeschichte. vol. 14, 1894, 97–118; vol. 15, 1895, vol. 568–587; vol. 16, 1896, 72–114.
  • Lettres de Jacques de Vitry ed. R. B. C. Huygens. Leiden, 1960.
Mengineyo
  1. Bartlett, Robert (2023). "Jacques de Vitry (d. 1240) and the Religious Life of his Time". History (kwa Kiingereza). 108 (379–380): 3–19. doi:10.1111/1468-229X.13345. hdl:10023/27054. ISSN 0018-2648.
  2. Peter of les Vaux-de-Cernay, Historia Albigensis 285. It was perhaps during this preaching campaign that he met Bishop Foulques of Toulouse; cf. Guillaume de Puylaurens, Chronica 28.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.