Yakobo Alberione
Mandhari
Yakobo Alberione, SSP (kwa Kiitalia: Giacomo; 4 Aprili 1884 – 26 Novemba 1971) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Italia, na mwanzilishi wa mashirika ya Mtakatifu Paulo, Dada wa Mtakatifu Paulo, Wanazuoni wa Sala ya Kimungu, Masista wa Yesu Mchungaji Mzuri, Masista wa Maria Malkia wa Mitume, na mashirika mengine ya kitawa, ambayo yanaunda Familia ya Pauline.
Makundi mawili ya kwanza yanajulikana zaidi kwa kukuza imani ya Kikatoliki kupitia aina mbalimbali za vyombo vya habari vya kisasa.[1].[2]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Aprili 2003.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Novemba[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mission of the Society of St. Paul" The Society of St. Paul. Retrieved 9 August 2012.
- ↑ "Lamera, Stephen, James Alberione: a Marvel for our Times, Daughters of St. Paul, 1977" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-12-02. Iliwekwa mnamo 2013-02-01.
- ↑ Martyrologium Romanum
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |