Yako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mskiti wa Yako

Yako ni mji wa Burkina Faso ya kaskazini na makao makuu ya mkoa wa Passore. Pamoja na vijiji katika eneo lake kuna takriban wakazi 77,000.

Iko kilomita 100 kaskazini-magharibi kwa Ouagadougou.

Kihistoria ilijulikana kama mji mkuu wa dola dogo na msikiti mkubwa.

Yako ni mahali ambako rais wa tano wa Burkina Faso Thomas Sankara alizaliwa na kuzikwa.

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yako kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.