Nenda kwa yaliyomo

Xalapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Xalapa


Jiji la Xalapa
Nchi Mexiko
Jimbo Veracruz
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 387,879
Tovuti:  www.xalapa.gob.mx

Xalapa (pia: La ciudad de las flores; Kiswahili: mji wa maua) ni mji mkuu katika jimbo la Veracruz. Ni mji mkubwa wa pili jimboni baada ya mji mkubwa Veracruz. Idadi ya wakazi ni 387,879.

Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1772.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Xalapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.