Wuraola Esan
Mandhari
Wuraola Adepeju Esan (1909 – 1985) alikuwa mwalimu, mwanaharakati wa haki za wanawake na mwanasiasa wa Nigeria. Aliunganisha malengo yake ya kisiasa na hadhi ya machifu wa jadi wa Nigeria kwa kutumikia kama Iyalode (cheo) wa Ibadan.[1]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Wuraola Adepeju Esan alizaliwa mwaka 1909 huko Calabar katika familia ya Ojo-badan ya Ibadan.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Roberta Ann Dunbar. Reviewed Work(s): "People and Empires in African History: Essays in Memory of Michael Crowder" by J. F. Ade Ajayi; J. D. Y. Peel; Michael Crowder, The Journal of African History, Vol. 34, No. 3, 1993.
- ↑ Professor Henry Louis Gates Jr.; Professor Emmanuel Akyeampong; Mr. Steven J. Niven (2 Februari 2012). Dictionary of African Biography. OUP USA. ku. 311–. ISBN 978-0-19-538207-5.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wuraola Esan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |