Nenda kwa yaliyomo

Wu Lusheng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wu Lusheng (1 Agosti 1930Januari 8, 2025) alikuwa mbunifu wa majengo na profesa wa Chuo Kikuu cha Tongji nchini China. Mnamo 2004, alipewa jina la "Mwalimu wa Kitaifa wa Uhandisi na Ubunifu" na Wizara ya ujenzi ya China.

Katika taaluma yake iliyodumu zaidi ya miaka 50, alishirikiana na mume wake, Dai Fudong, katika takriban miradi 100. Wu alifariki tarehe 8 Januari 2025, akiwa na umri wa miaka 94.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wu Lusheng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.