Woody Johnson
Mandhari
Robert Wood Johnson IV (Alizaliwa Aprili 12, 1947) ni mfanyabiashara nchini Marekani na mmiliki ,mwenyekiti wa timu ya New York Jets ya National Football League (NFL).[1] Alihudumu kama balozi wa Marekani nchini Uingereza kuanzia mwaka 2017 hadi 2021 wakati wa muhula wa kwanza wa Donald Trump.[2] Alinunua timu ya Jets mwaka 2000 kwa dola milioni 635.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Reuters. "New York Jets co-owner Johnson completes purchase of 43% stake in Crystal Palace." 25 July 2025. https://www.reuters.com/sports/soccer/new-york-jets-co-owner-johnson-completes-purchase-stake-palace-2025-07-25/
- ↑ Kennedy, Ryan (2020-05-09). "Betty Wold Johnson – in memoriam". Hopewell Borough (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-06-18. Iliwekwa mnamo 2024-06-18.
- ↑ Richard Sandomir (Januari 12, 2000). "Philanthropist and Fan". The New York Times. Iliwekwa mnamo Januari 23, 2008.
Robert Wood Johnson IV, whose great-grandfather founded Johnson & Johnson, won the right yesterday to buy the Jets for $635 million, the third-highest price for a professional sports team and the most for one in New York.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Woody Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |