Nenda kwa yaliyomo

Wanawake katika vita ya Vietnam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Women in the Vietnam War)
Mwanamgambo wa Viet Cong
Mwanamke wa Kivietinamu analia juu ya mwili wa mumewe, mmoja wa majeruhi wa Jeshi la Vietnam
Wauguzi katika Jeshi la Korea Kusini katika Vita vya Vietnam Kitengo cha Tiger Division Septemba 1968

Wanawake katika vita vya Vietnam walihusika kikamilifu katika majukumu mbalimbali, wakitoa mchango mkubwa katika Vita na Vita hivyo vikiwa na athari kubwa kwao.[1]

Mamilioni ya wanawake wa Kivietinamu walihudumu katika jeshi na wanamgambo wakati wa Vita, hasa katika Fronti ya Ukombozi wa Kitaifa ya Vietnam Kusini (pia inajulikana kama Viet Cong), huku kaulimbiu ikisema "vita vikija, hata wanawake lazima wapigane" ikitumiwa sana.Wanawake walitoa michango muhimu katika Njia ya Ho Chi Minh, katika shughuli na huduma za kitabibu, kazi za ugavi na utawala na katika baadhi ya matukio, mapigano ya moja kwa moja dhidi ya majeshi pinzani.

Wanawake wa Marekani katika Jeshi

[hariri | hariri chanzo]
Wanawake watano waliojiunga na afisa mwanamke wa Jeshi la Anga (WAF) wakifika katika Kituo cha Ndege cha Tan Son Nhut, Vietnam Kusini. Juni, 1967
Luteni wa Kwanza Linda J. Bowser katika Kijiji cha Bong Son, Thailand, Januari 1974

Nchini Marekani wakati wa Vita vya Vietnam wanawake walizuiwa kuhudumu katika nafasi za moja kwa moja za kivita. Hata hivyo, walihudumu katika aina mbalimbali za majukumu ya usaidizi.

  1. "Vietnamese women in wartime – Press Photos – Femmes et guerres".
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanawake katika vita ya Vietnam kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.