Wolimata Ndiaye
Mandhari
Wolimata Ndiaye (aliyezaliwa tarehe 10 Januari 2004) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Senegal anayekipiga katika nafasi ya beki. Anachezea klabu ya Thonon Évian Grand Genève FC inayoshiriki Ligi ya Daraja la Pili ya Wanawake nchini Ufaransa (Seconde Ligue) pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Senegal.[1]
Mnamo Machi 2024, Ndiaye alisaini mkataba wake wa kwanza wa kulipwa nje ya nchi, akijiunga na klabu ya Thonon Évian GG FC ya Divisheni ya Pili ya Wanawake nchini Ufaransa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Wolimata Ndiaye – Identité". statsfootofeminin.fr. Iliwekwa mnamo 23 Mei 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wolimata Ndiaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |