Nenda kwa yaliyomo

Wolfgang Weider

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wolfgang Weider (29 Oktoba 193214 Februari 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ujerumani. Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Berlin kuanzia 1982 hadi 2009.

Weider alifariki tarehe 14 Februari 2024, akiwa na umri wa miaka 91[1]

  1. "Emeritierter Berliner Weihbischof Weider gestorben". Katholisch.de (kwa German). 15 Februari 2024. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-02-15. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.