Wolfgang Pisa
Mandhari
Wolfgang Pisa, OFM.Cap. (alizaliwa 6 Julai 1965) ni askofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania. Amekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi tangu mwaka 2022. Kwa sasa, yeye ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC) baada ya kuchaguliwa katika nafasi hiyo tarehe 22 Juni 2024.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mjigwa, Richard A. "Askofu Wolfgang Pisa, Jimbo Katoliki la Lindi, Tanzania". Vatican News. Iliwekwa mnamo 24 Juni 2024.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |