With a Child's Heart
Mandhari
| “With a Child's Heart” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
| Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Music and Me | |||||
| A-side | "With a Child's Heart" | ||||
| B-side | "Morning Glow" | ||||
| Imetolewa | 1973 | ||||
| Muundo | 7", 12" | ||||
| Imerekodiwa | 1971 | ||||
| Aina | Pop | ||||
| Studio | Motown Records | ||||
| Mtunzi | Basemore / Henry Cosby / Sylvia Moy | ||||
| Mtayarishaji | Henry Cosby | ||||
| Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
| |||||
"With a Child's Heart" ni jina la kutaja wimbo wa msanii wa muziki wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitolewa ukiwa kama wimbo kwanza kutoka katika albamu yake ya mwaka 1973, Music & Me. Wimbo ulipata kushika nafasi ya #50 katika chati za Billboard Pop Singles, #14 kwenye chati za US R&B, na #23 kwenye chati za US adult contemporary.
Chati zake
[hariri | hariri chanzo]| "With a Child's Heart" (1973) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| 50 | |
| 23 | |
| 14 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
