Wimbo wa Taifa wa Cape Verde
Cântico da Liberdade" (kwa kiingereza: "Chant of Liberty") ni Nyimbo ya Taifa la Cape Verde. Ilitungwa rasmi mwaka 1996 ili iwepo badala ya nyimbo iitwayo "Esta É a Nossa Pátria Bem Amada", ambayo pia ndio iliyokua nyimbo ya Taifa ya Guinea Bissau, nyimbo hii ilikua ni urithi wa mataifa hayo mawili yaliyopata uhuru pamoja. Nyimbo hiyo ilitungwa na Adalberto Higino Tavares Silva mwaka (1961-),na iliandikwa na Amílcar Spencer Lopes mwaka (1948-)[1]
Nyimbo hii ya Taifa ni lazima iimbwe mwanzo na mwisho wa kila shughuli za kinchi ambazo ataluwepo Raisi wa nchi, au patapokuwepo shughuli zozote za vyama vya kisiasa na katika ufumguzi na ufungaji katika vipindi vya televisheni na redio[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ talberto+Higino+Tavares+Silva+Am%C3%ADlcar+Spencer+Lopes&pg=PT75&redir_esc=y#v=snippet&q=Adalberto%20Higino%20Tavares%20Silva%20Am%C3%ADlcar%20Spencer%20Lopes&f=false
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-04-17. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
{{Mbegu}]