Wilson Kiprugut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilson Kiprugut, 1968.

Wilson Kiprugut (Kericho, 1938 - 1 Novemba 2022) alikuwa mwanariadha wa masafa marefu wa Kenya (m 800, Mexico 1968).[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilson Kiprugut kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.