Wilna Adriaanse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilna Adriaanse (alizaliwa katika Jangwa la Kalahari, Afrika Kusini mwaka 19 Machi 1958) ni mwandishi wa hadithi za kimapenzi.

Kitabu chake cha kwanza kinaitwa, Die wingerd sal weer bot kilichapishwa mnamo mwaka 2000 chini ya jina Wilmine Burger. Kitabu chake, n Heildronk op liefde , kilishinda mwaka 2003 Lapa Publishers’ zawadi ya Mapenzi mnamo mwaka 2009 ilipata tuzo ya ATKV-Woordveertjie kwa riwaya Die boek van Ester.[1]

Adriaanse alikulia huko Worcester, Western Cape | Worcester. Alimaliza masomo yake mnamo 1976 kutoka Shule ya Worcester High School. Alipata tuzo za Shahada katika usimamizi wa maendeleo kutoka Chuo Kikuu cha Stellenbosch. Mnamo mwaka wa 2011, alimaliza shahada ya uzamili kwa uhitimu katika Uandishi wa Ubunifu katika Chuo Kikuu cha Cape Town. Tasnifu yake pia ilichapishwa chini ya kichwa,'n Klein Lewe by Tafelberg.[2].Mnamo mwaka 1981, aliolewa na Deon Adriaanse na kukaa huko Giyani. Mnamo mwaka 1985 wanandoa hawa walihamia Western Cape na waliishi Durbanville hadi mwaka 2011, baada ya hapo alimfuata mumewe ambaye alifanya kazi katika maeneo tofauti barani Afrika. Wana watoto watatu.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

  • ’n Ongewone belegging, Jasmyn, 2001
  • Alleenvlug, Jasmyn, 2002
  • Die reuk van verlange, Jasmyn, 2003
  • Serenade vir ’n nagtegaal, Jasmyn, 2004
  • Rebecca, Tafelberg, 2004
  • Hande wat heel, Hartklop, 2005
  • Met ander woorde, Tafelberg, 2006
  • Die boek van Ester, Tafelberg, 2008
  • Vier seisoene kind, Tafelberg, 2010
  • 'n Klein lewe, Tafelberg, 2012
  • Dubbelspel, Tafelberg, 2014
  • Eindspel, Tafelberg, 2017
  • Blindside, Tafelberg, 2019 (Translation of Dubbelspel)

As Wilmine Burger:

  • Die wingerd sal weer bot, Lapa, 2000
  • ’n Heildronk op die liefde, Lapa, 2002
  • Liefde is ’n kleur, Lapa, 2002
  • Brug van woorde, Lapa, 2004

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. HAT Taal-en-feitegids, Pearson, December 2013, ISBN|978-1-77578-243-8
  2. "Wilna Adriaanse". NB Publishers. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-28. Iliwekwa mnamo 17 January 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilna Adriaanse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilna Adriaanse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.