Nenda kwa yaliyomo

William Wang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Wang (Alizaliwa Juni 6, 1958) ni mjasiriamali nchini Marekani mwenye asili ya Taiwan. Yeye ni mwanzilishi na afisa mkuu mtendaji wa Vizio(kampuni), kampuni ya vifaa vya elektroniki vya watumiaji inayojulikana kwa televisheni zake za gharama nafuu. Alianzisha Vizio mwaka 2002 baada ya kufanya kazi katika kampuni kama Magnavox na Zenith[1][2].

  1. USC Ilihifadhiwa 26 Mei 2016 kwenye Wayback Machine., USC Class of 86'
  2. Wang, William (Juni 1, 2007). "How I Did It: William Wang, CEO, Vizio". Inc.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Wang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.