Nenda kwa yaliyomo

William P. Murphy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Murphy

William Parry Murphy (6 Februari 18929 Oktoba 1987) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kuchunguza na kutibu upungufu wa damu. Mwaka wa 1934, pamoja na George Minot na George Whipple alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William P. Murphy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.