William Osler
Mandhari
William Osler (Bond Head, Kanada Magharibi, sasa Ontario, 12 Julai 1849 - Oxford, Uingereza, 29 Desemba 1919) alikuwa mwanafiziolojia na mwanahistoria wa matibabu. Mwishoni mwa karne ya 19, alikuwa daktari anayejulikana zaidi katika ulimwengu wa lugha ya Kiingereza.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Osler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |