Nenda kwa yaliyomo

William O. Brady

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Otterwell Ignatius Brady ( 1 Februari 1899 - 1 Oktoba 1961 ) alikuwa ni kiongozi kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa dayosisi la St. Paul na Minneapolis(1956-1961).[1][2]

  1. ↑ "Crowds Pay Archbishop Brady Homage as Rome, St. Paul Paid Final Tribute to Prelate". The Catholic Bulletin (St. Paul, Minnesota). Oktoba 13, 1961.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Archbishop Leo Binz". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo Septemba 1, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.