Nenda kwa yaliyomo

William Marrion Branham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Marrion Branham (Kentucky, Aprili 6, 1909 - Texas, Desemba 24, 1965) alikuwa mchungaji wa kiinjilisti wa Marekani ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya makanisa ya Kipentekoste ya Marekani, ingawa alikataa kuwa mshiriki wa mashirika haya. Wakati mwingine anachukuliwa kuwa mwanzilishi wa harakati ya "Latter Rain" na "La Pluie de l’Arrière Saison". Wafuasi wake wanaona ndani yake ujio wa nabii mkuu. Eliya alitangazwa na nabii Malaki katika Agano la Kale. Huduma yake iliongoza miito ya wainjilisti kadhaa.[1] Kama Tommy Osborn na wengine. William Branham alisafiri katika Asia Afrika, Ulaya kule Ujerumani alipo kutana na Ewald Frank na wengine.

Wasifu

William Branham ao Bill Branham alizaliwa tarehe Aprili 6, 1909 katika jumba la kifahari huko Kentucky, mwana mkubwa wa Charles Harvey na Ella Harvey, na alikulia karibu na Jeffersonville, Indiana. Na alikufa tarehe Desemba 24, 1965 pale Texas amezikwa kule Jeffersonville.[2]

Maono

William Branham anadai kupokea maono kadhaa wakati wa maisha yake baada ya kutawazwa na Roy Davis.[3]

  • Maono ya Bwana Yesu[4]
  • Maono ya msichanana pale mdogo mwenye polio
  • Maono katika mgohana huko Ohio
  • Maono ya wa Uhindu 300.000

Maono Saba

Mnamo Juni 1933 alipokuwa a kiendesha ibada katika ukumbi wa "Old Masonic" huko Meiggs huko Jeffersonville, William Branham alidai kwamba Bwana Yesu alimwonyesha matukio saba ya umuhimu mkuu ambayo yangetukia kabla ya kurudi kwake.[5][6]

  • Benito Mussolini ingevamia Ethiopia
  • Adolf Hitler angesimama kuwa dikteta wa Ujerumani, na kuwa n'a mwisho wa ajabu
  • "-ismi" Tatu kuu : ufashismi, unazismi, ukomunismi; "-ismi" ya mwisho ingechukua mbili za kwanza
  • Maendeleo makubwa ya kisayansi baada ya vita vya kidunia vya pili
  • Haki ya wanawake kupiga kura
  • Mwanamke mkatili wa uzuri mkubwa angetokea Marekani
  • Marekani katika majivu

Marejeo

  1. freie-volksmission.de
  2. "Voice Of God Recordings". branham.org. Iliwekwa mnamo 2025-05-20.
  3. Maono ya William Branham, 2002, Voice of God recording, Canada, p.3
  4. Wasifu wa William Branham,2002, Maubi William Branham) Quebec uk.35
  5. Katika 1933 7, Maono ya William Marrion Branham kwenye www.williambranham.com, 2017, ilishauriwa Februari 15, 2017
  6. Wasifu wa William Branham, 2002, maubiri William Branham, Quebec, p.33-34