Nenda kwa yaliyomo

William J. Waltersheid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William John Waltersheid (alizaliwa 18 Novemba 1956) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Amekuwa akihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Pittsburgh, Pennsylvania, tangu mwaka 2011.[1]

  1. "Bishop William John Waltersheid [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2024-03-22.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.