Nenda kwa yaliyomo

William IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William IV (William Henry; 21 Agosti 176520 Juni 1837) alikuwa Mfalme wa Uingereza na Ireland na Mfalme wa Hannover kuanzia tarehe 26 Juni 1830 hadi kifo chake mwaka 1837.

William alikuwa mwana wa tatu wa George III. [1]

William IV

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Hannah, P (2021). Keats, A Treasure to the Service. Adelaide: Green Hill. ku. 14–18. ISBN 978-1-922629-73-9.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]