William Hogarth
Mandhari
William Hogarth (Novemba 10, 1697 – Oktoba 26, 1764) alikuwa mchongaji, mchambuzi , mchoraji katuni, na mwandishi wa Uingereza. Kazi yake inaanzia uchoraji halisi wa picha za watu hadi mfululizo wa picha kama katuni za vichekesho unaoitwa "modern moral subjects", na alijulikana zaidi kwa mfululizo wake A Harlot's Progress, A Rake's Progress na Marriage A-la-Mode. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Rococo Influence in British Art – dummies". dummies (kwa American English). Iliwekwa mnamo 23 Juni 2017.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Hogarth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |