William Gell
Mandhari
Sir William Gell (Machi 29, 1777 – Februari 4, 1836) alikuwa mwanaakiolojia wa Uingereza na mchoraji picha. Alichapisha vielelezo vya topografia ya Troy na eneo jirani mwaka 1804. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gell of Hopton Hall Ilihifadhiwa 14 Februari 2017 kwenye Wayback Machine., Rotherham web, Retrieved 4 October 2008
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Gell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |