Nenda kwa yaliyomo

William G. Morgan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William G. Morgan

Picha ya William G. Morgan
Amekufa 27 Desemba 1942
Nchi Marekani
Kazi yake Mwana michezo

William George Morgan (23 Januari 1870 - 27 Desemba 1942) alikuwa mwanzilishi wa mchezo wa mpira wa wavu. Kwa jina la asili mchezo huu unaitwa "Mintonette", jina linalotokana na mchezo wa badminton ambalo baadaye alikubali kubadilisha ili kuleta hali nzuri ya mchezo.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

William Morgan alizaliwa huko Lockport, New York, Marekani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William G. Morgan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.