Nenda kwa yaliyomo

William Edward Power

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Edward Power (27 Septemba 191529 Novemba 2003) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Kanada.

Alitawazwa kuwa Askofu wa Jimbo la Antigonish tarehe 20 Julai 1960 na kuwekwa rasmi tarehe 10 Agosti 1960. Alijiuzulu tarehe 17 Desemba 1986. Power alifariki mwaka 2003.[1]

  1. "Death of Most Rev. William Power, Bishop Emeritus of Antigonish". Canadian Conference of Catholic Bishops. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-24. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.