William Browder (mwanahisabati)
Mandhari
(Elekezwa kutoka William Browder (Mwanamahesabu))
William Browder (6 Januari 1934 – Februari 2025) alikuwa mwanasayansi wa hisabati kutoka Marekani, aliyejikita zaidi katika algebraic topology, differential topology na differential geometry. Browder alikuwa mmojawapo kati ya waanzilishi pamoja na Sergei Novikov, Dennis Sullivan na C. T. C. Wall wa mbinu ya nadharia ya upasuaji kwa ajili ya kupanga manifolds za viwango vya juu.
Alikuwa rais wa Jumuiya ya Hisabati ya Marekani kuanzia mwaka 1989 hadi 1991. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Panorama of Topology: A Conference in Honor of William Browder". math.princeton.edu. Princeton University Department of Mathematics. Iliwekwa mnamo 15 Septemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "William Browder 1934–2025". Princeton University. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Browder (mwanahisabati) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |