Nenda kwa yaliyomo

William Barleycorn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Napoleon Barleycorn
Alizaliwa 1848
Alikufa 1925
Nchi Guinea

William Napoleon Barleycorn (18481925), aliyezaliwa mjini Santa Isabel, Fernando Po, Spanish Guinea (sasa hivi Guinea ya Ikweta), alikuwa mmisionari wa kanisa la Primitive Methodist. Barleycorn alikuwa ni mtu wa Krio Fernandino mwenye asili ya Igbo[1]. Barleycorn alikwenda Fernando Po (sasa inajulikana kama Bioko) barani Afrika mwanzoni mwa miaka ya 1880, na kutoka huko alisafiri kwenda kusoma katika Chuo Kikuu cha Edinburgh.

  1. Sundiata, I. K. (1996). From Slaving to Neoslavery: The Bight of Biafra and Fernando Po in the era of abolition 1827-1930. University of Wisconsin Press. uk. 149. ISBN 0-299-14510-7.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Barleycorn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.