Willem van Enckevoirt
Mandhari
William of Enckevoirt (Mierlo-Hout, 1464 – Roma, 19 Julai 1534) alikuwa Kardinali kutoka Uholanzi. Alikuwa Askofu wa Tortosa mwaka 1524, na Askofu mkuu wa Utrecht kuanzia mwaka 1529 hadi kifo chake mwaka 1534.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |