Willem Drees

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Willem Drees

Willem Drees (* 5 Julai 1886 – † 14 Mei 1988) alikuwa mwanasiasa nchini Uholanzi. Alikuwa Waziri Mkuu wa Uholanzi kuanzia 7 Agosti 1948 hadi 22 Desemba 1958.