Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Eswatini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya za Eswatini)
Ramani ya nchi na mikoa yake.

Mikoa ya Eswatini ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi katika ufalme huo wa Kusini mwa Afrika. Iko minne: Hhohho, Lubombo, Manzini na Shiselweni.

Mkoa # Mkoa Makao makuu Eneo
(km2) [1]
Population
(sensa ya mwaka 2023)
Msongamano

(per km2)

1 Hhohho Mbabane 3,625.17 377,812 104.22
2 Manzini Manzini 4,093.59 374,293 91.43
3 Lubombo Siteki 5,849.11 248,594 42.5
4 Shiselweni Nhlangano 3,786.71 235,427 62.17